Posts

Showing posts from March 25, 2017

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA LEO KWA BEI NAFUU KABISA NA UPATE WATEJA .

Image
         Biashara ni matangazo ndugu asikuambie mtu ,  tangaza biashara yako kupitia hapa ili uuze kwa urahisi zaidi na lete matangazo yako hapa unayoona yanafaa zaidi kwajili ya biashara yako hiyo Wasiliana nasi kupitia namba 0625954293 whatsap . 

KOCHA MAYANGA:BOTSWANA WATATUPA MWANGA KUELEKEA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA.

      Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa Star Salumu Mayanga alisema mechi ya leo ya kirafiki dhidi ya Botswana itampa mwanaga kuelekea michezo ya kufuzu michuanao ya mataifa ya afrika mwezi juni. Star itashuka leo jioni kumenyana na timu ya botswana katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam . "Ni mchezo wangu wa kwanza katika mwaka huu na utanipa mwanga kuangalia vizuri kikosi kwaajili ya michuano ya mwezi juni" alisema Mayanga . Naye nahodha wa timu hiyo mbwna Samata alisema wamejipanga na mechi hiyo kuhakikisha wanashinda mchezo huo, ili kuleta heshima kwa Taifa na kusaidia kupanda katika viwango vya FIFA kwani mchezo huo upo katika kalenda za FIFA . "Tumejipanga vizuri ili kuleta furaha na heshima kwa jamii ,  mwalimu ameita wachezaji ambao anaona wanafaa hivyo tumpe nafasi na kumsapoti sisi watanzania na wachezaji . alisema Samata . Kiingilio cha mchezo huo cha chini kitakuw ni 3000 ili kuwafanya watanzania waweze kwenda kuipa support timu yao .