Posts

Showing posts from January 13, 2018

DODOMA YACHEZEA KICHAPO NA JKT YANUSA LIGI KUU MSIMU UJAO.

Image
        Wakati mambo yakimwendela mlama Kocha Jamhuri Kihwelo "JULIO" timu ya JKT TAanzani imetanguliza muu mmoja ligi kuu ya VPL katika msimu ujao baada ya kuifumua timu MVUVUMWAFC kwa mabao 3-0 katika mfululizo wa mechi za ligi daraja la kwanza (FDL).     JKT ilipata ushindi huo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kufikisha point 28 ikisaliwa na michezo tatu kabla ya kumaliza msimu . Huku sasa ikihitaji point nne tu kupanda ligi kuu ya VPL msimu ujao     Ushindi huo umeifanya timu hiyo inayonolewa na kocha Bakari Shime kukaa kileleni mwa msimamo ikizidi kuziacha Friend Rengers na African Lyon zilizoko nyuma yake zikiwa na point 19 na 18 amabpo leo zitapetana katika mchezo mwingine wa ligi hiyo.      Kwa kuangalia uwiano wa point na Mabao tunawez kusema kuwa JKT wameshapanda ligi kuu na wanasubiria tu ratiba kuwaidhjnisha mwishoni wa ligi yao inagwa kwenye soka lolote linaweza kutokea .    Katika matokeo mengine ya ligi hiyo Dodona Fc imekutana na kic