Posts

Showing posts from March 17, 2017

MADAI YA WALIMU KUANZA KULIPWA SASA .

Image
      Serikali imesema kuwa itaanza kulipa madeni ya walimu sasa ikiwemo madeni ya wastaafu,kupandishwa madaraja na pesa za likizo .

DRAW YA ROBO FINALI YA UEFA IMETOKA TAYARI HII HAPA.

Image
   Wawakilishi peke wa uingereza katika michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya leicister city ,  watapambana na Athletico Madridi katika hatua ya robo fainal ya michuano hiyo . Lecister wamemfahamu mpinzani wao baada ya shirikisho la soka barani ulaya kufanya drwaw yake .