Posts

Showing posts from March 4, 2017

WATALAMU WA KUTENGENEZA BUSTANI ZA NYUMBA , HOSTELI NA OFISINI

Image
    Kama unahitaji kutengenezewa garden za Nyumba , hotel na Ofisini usipate tabu wasiliana na KONOLO COMPONY Kwa simu 0625954293 ili kupendezesha Nyumba yako , Ofisi yako na Hotel tupo Mwanza ila tunatoa huduma katika mikoa yote ya Tanzania

BARCELONA YATUMA SALAMU KWA PSG ..

Image
   Kikosi cha Barcelona Jana kimerejea tena kileleni mwa ligi kuu Laliga baada ya kushinda goli 5-0 dhidi ya RC Celta katka uwanja Wa Camp Neou magoli ya mabingwa hao yalifungwa na L.Messi 2, Neyma 1 na Raktik 1 . Ushindi huo umerejesha matumaini makubwa Kwa mashabiki Wa Barcelona kuwa Wenda mchezo dhidi ya P S G kikosi hicho kikafanya maajabu katika uwanja wao Wa nyjmbani cku ya tarehe 8 wiki ijayo .

YANGA KESHO KUKAA KILELENI LIGI KUU VPL .

Image
Simba wameshindwa kutamba katika mchezo wao dhidi ya Mbeya City leo baada ya kulazimishwa kutoa suluhu ya 2-2 uwanja Wa Taifa leo . Kesho timu ya YANGA  itashuka dimbani kumenyana na MTIBWA SUGAR  , endapo Yanga watashika mchezo huo watakaa kileleni mwa ligi kuu ya VPL ambapo watakuwa na point 55 sawa na SIMBA  lakini wataongoA Kwa tofauti ya Magoli kwani watakuwa na magoli mengi ikiwa wamecheka na nyavu Mara 49 huku simba wamecheka na nyavu hizo Mara 38 . Yanga watakuwa wageni kesho katika uwanja Wa Jamhuri Morogoro wakikaribishwa na Mtibwa Sugar .

ONGEZA KIPATO KWA MTAJI KUANZIA TSH.10000

      Ndugu mpenzi mfuatiliaji Wa blog hii Leo tunakuletea

CHIRWA AFUTIWA KADI NYEKUNDU .

Image
  Mshambuliaji Wa timu ya Yanga Obrey Chirwa amefutiwa kadi nyekundu aliyopewa Siku ya jumatano dhidi ya Ruvu shooting . Chirwa sasa atakuwa huru kucheza mchezo wa kesho dhidi ya mtibwa .

NGASA : SIMBA HAWATATUFUNGA LAZIMA NNIWAFUNGE TU

Image
   Mshambuliaji hatari aliyewahi kukipiga katika klabu za Yanga, Azam,Kagera na Free State ya Afrika kusini Mrisho Khalfan Ngassa amesema kuwa mchezo waleo hawatakubali kufungwa na wekundu Wa msimbazi ambao mwaka huu wamekuwa na hamu kubwa sn ya kutaka ubingwa baada ya kuukosa Kwa miaka takribani kama minne sasa .     Mshambuliaji huyo Wa Mbeya City amedai kuwa lazima wawafunge kwani hayupo tayari kuona  timu hiyo ya msimbazi ikibeba ubingwa na kuahidi kuwafunga tu leo . Simba na Mbeya City zitashuka uwanjani leo katika uwanja Wa Taifa Simba akiwa mwenyeji saa 10:00 jioni .