Posts

Showing posts from September 9, 2017

SOMA VICHWA VYA MAGAZETI YALEO TAR: 10 /09/2017 HAPA.

Image
Nimekusogezea hapa haabri mbalimbali kutoka magazetini leo asubuhi ya jumapili ya tarehe 10 /09/2017 . 

KIJANA ALIYEPOST POST YA UCHOCHEZI KUHUSU TUNDU LISU KUPIGWA LISASI AKAMATWA.

Image
     Jeshi la polisi mkoani Arusha limemshikilia kijana mmoja afahamikaye kwa jina la Abuu aliyesambaza maneno makali kwenye akaunti yake ya Facebook maneno makali akisema , nibora mhe. Tundu Lisu angeuliwa na waliompiga lisasi . Kijana huyo anashikiliwa na polosi .  Mpka sasa yupo kituo cha polisi ch kijenge mkoani Arusha kwa mahojiano zaidi .   Kama hukusoma ujumbe ambao kijana Abuu aliusambaza nihuu hapa chini :

MSIMAMO WA VPL BAADA YA MICHEZO MIWILI YA LEO TAREH: 09/09/2017

Image
Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa michezo miwili kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC , mchezo huu umemalizika kwa sare ya bila kufungana .  Mchezo mwingine ulikuwa kati ya Tanzania Prison dhidi ya Maji maji mchezo ambao umemalizika kwa matoke ya sare goli 2 -2.  Kufuatia matokeo hayo nimekuwekea msimamo wa ligi kuuVPL hapa chini.

KIKOSI CHA SIMBA KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA AZAM PALE AZAM COMPLEX

Image
 Simba itashuka leo uwanjani kukipiga na Azam Fc katika uwanja wa Azam Complex chamanzi jijini Dar es Salaam .