YANGA YAKIRI KUWAOGOPA AZAM FC
Klabu ya yanga imekili kuwa mchezo wake wa jumamosi utakuwa mgumu dhidi ya Azam FC lakini wamesema lazima washinde ili kutetea ubingwa wao . Katibu mkuu wa klabu hiyo Boniface Mkwasa amesema wanategeme upinzni mkubwa kutoka kwa Azam ambao wamejipanga . -Tunafahamu iwezo wa azam wamejipanga lkn lazima tupate ushindi . Alisema Mkwasa . Kutetea ubingwa. Mkwasa amesema kuwa ligi ya mwaka huu ni ngumu sana hivyo amesema wanahitaji ushindi katika mechi zao zote zilizobaki ili kutetea taji hilo.