Posts

Showing posts from December 10, 2017

MATOKEO YA CECAFA KATI YA ETHIOPIA NA UGANDA NA MSKMAMO WA MAKUNDI YA CECAFA

   Mashindano ya CEAFA yameendelea leo kwa mchezo mmoja kati ya Ethiopia V/S Uganda ambao umemalizika kwa sare ya 1-1 huku Uganda wakisawazisha katika dk za mwisho kabisa .  Katika mchezo huo macezaji wa Uganda Timothy Awany akipewa kadi nyekundu katika dk za mwisho kabisa za mchezo . Kwa matokeo hayo Uganda imefuzu kuelekea katika hatua ya nusu Fainali ya michuano hiyo kutoka katika kundi B wakati huo Ethiopia ikiiombea Burundi ifungwe zaidi ya goli 4 hapo kesho na Sudani Kusini. Huu ndiyo msimamo wa makundi ya CECAFA mpka sasa.