UEFA :16 BORA YA UEFA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA MICHEZO HII .
HABARI za michezo : Mashindano ya Klabu bingwa barani Ulaya (UEFA)kuendelea hapo kesho na kesho kutwa kwa michezo mbalimbali iliyokuwa ikisubiliwa na wapenzi wa soka duniani kote . UEFA itaanza siku ya Jumanne kesho kwa michezo ifuatayo : SIKU YA JUMANNE : FC Basel v/s Man City Juventus v/ Tottenham SIKU YA JUMATANO : FC Portal v/s Liverpool Real Madridi v/s PSG cont: 0625954293