Posts

Showing posts from November 4, 2017

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

Image
   Wapendwa wasomaji wa misangletz.blogspot.com.  yanakuletea yale mafunzo ya kutengeneza sabuni za maji na mche Online kwa bei nafuu kabisa kwni watu wamekuwa wklakiulizia mara kwa mara na kutokana na maandalizi kwa ajili ya somo tulikuwa tumeomba muda wa kutosha .  Mafunzo yatakayotolewa ni kama ifuatavyo: 1. Mafunzo ya sabuni ya maji      Tutajifunza kutengeneza sabuni za maji na kupata ujuzi wakutosha kabisa ili uweze kutengeneza sabuni na kujiongezea kipato chako, familia yako na taifa kwa ujumla  2. Sabuni ya mche (Magadi)         Tutafundisha pia kutengeneza sabuni za mche km unavyoina hyo hapo chini . Utafahamu namna ya kutengeneza sabuni hizi bila hata kusumbuka na uapaa ujuzi wakuosha na kuacha kuhangaika kununua sabuni .  3. Shampoo za kuoshea nywele.       Mafunzo mengine utayopayiwa ni namna ya kutengeneza Shampoo au sabuni za kuoshea nywele .  Pia kwa wale ambao hawakupata mafunzo ya kutengeneza Zulia bado watu wanaendelea kupata mafunzo haya

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA SINGIDA UNITED

Image
    Kikosi cha yanga kitakachoanza katika mchezo wa leo dhidi ya Singida United kimeangazwa. Kocha Lwandamina ametangaza kikosi cha wachezajj 18 watakao anza leo pale Singida katika uwanja wa Namfua ikiwa ni mchezo ambao utachangizwa na kitu cha pekee kabisa kwani Singida United watakuwa wanazindua uwanja wao mpya kwa mara ya kwanza .  Lwandamina katika kikosi alichokitangaza amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili kutoka katika kikosi kilichoanza dhidi ya simba SC mwishoni mwa wiki iliyopita.     WHassani Kessy ameanza katika mchezo wa leo kuchukua nafasi ya Juma Abdul anayetumikia adhabu ya kadi 3 za njano alizonazo huku Pato Ngonyani akianza badala ya Raphael Loth .     Kifuatacho ndyo kikosi cha Yanga kitakachochuana na Singida United: 1. Youth Rostand 2. Hassani Kessy 3. Gadiel Mbaga 4. Andrew Vicent 5. Kelvine Yondani 6. Pato Ngonyani 7. Pius Buswita 8. Papy Tshishimbi 9. Geofrey Mwashuya 10. Obrey Chirwa 11. Ibrahim Ajibu Wachezaji wa akjba: GK- Ram

SHUHUDIA CHENGA HII ILIVYOKUWA KALI LAZIMA UCHEKE

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI YA TAR:4/11/2017

Image
  Tumekusogezea magazeti ya leo jumamosi hapa , soma :