Posts

Showing posts from April 25, 2017

WABUNGE WAGOMA KUMCHANGIA SUPER MODEL WA TANZANIA

Image
             Super Model Asha Mabula anayekwenda kuiwasilisha Tanzania ,  alitambulishwa bungeni na kuibua mjadala mzito bungeni kuhusu kuchangiwa fedha kila mbuge TSH. 30000 .  Wengi wamegoma wakisema kuwa hawaoni kama suala la U-Model ni lakitaifa na kama ni suala la muhimu kuchangia badala ya kuchangia masuala ya kimaendeleo .  Wengine wligoma wakidai kuwa dini zao haziwaruhusu kuchangia warembo .  Mbunge Ally Kessy amesema endapo bunge litamkata kiasi hicho cha pesa atachukua hatua ya kwenda mahakamani.

DIAMOND KUFANYA COLLABO NA YOUNG KILLER

Image
        Baada ya kuzindua Manukatoyakemapya  yanayokwenda kwa jina la Chibu Perfume ambayo imepokelewa vizuri na mashabiki wake .   Diamond ametoa tathimini ya mziki wa bongo fleva kwa kusema kuwa kumekuwepo na ushindani mkubwa akidai umewashinda hata wanaijeria kwa sasa . Aidha Diamond amegusia kufanya collabo na mwanamziki Yong Killer kwa kusema kuwa amefanya naye kazi kwa lengo la kunyanyua mziki wa nyumbani kwa sababu kufanya kazi na wanaijeria hakuwastui tena watu kama zamani .   "Kitu ambacho watu hawakijui , ukifanya kazi na wanaijeria watu hawashituki kabisa . Nimefanaya collabo na Young Killer kunyanyua mziki. Mziki wetu umekuwa wa kiushindani kabisa , lazima tujitume . wanaijeria now ahawapo juu yetu , mziki wetu upo juju sasa " alisema .

SIMBA KWENDA FIFA KISA POINT 3 ZA KAGERA

Image
                 Huenda sakata la point 3 za Kagera Sugar dhidi ya Simba zikapelekea wekundu hao wa msimbazi kwenda FIFA . Simba kunauwezekano mkubwa wa kukimbila Uswis yalipo makao makuu ya FIFA Kudai haki yao baada ya Mwenyekiti wao wa zamani Rage kuwashauri kufanya hivyo.    Rage ambaye pia alikuw Katibu kuu wa TFF ambayo zamani ilijuikana kama FAT amesema maamzi yaliyofanywa dhidi ya simba yanaonyesha dhahiri uonevu na kwamba wakienda FIFA na CAF watapata msaada . Amesema kuwa sababu walizotoa TFF kwenye sakata hilo hazikuw na mashiko yoyote. Hivyo simba wanaweza kuomba kutafisiriwa sheria na FIFA na CAF na wakakubaliwa .

KIKWETE AIPONDA ELIMU BURE YA MAGUFULI .

Image
                  Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa suala la elimu bure kwa wote bado ni chngamoto hususani kwa nchi maskini na zinazoendelea kama Tanzania ambazo ni nchi maskini na kipato chake bado ni chachini . Rais mstaafu wa awamu ya nne Dk .       Kikwete ambaye alikuwepo Washngton D C kwenye kikao cha ufadhili wa elimu wa mkakati mpya uliozinduliwa mwaka jana kwa nchi za africa "The pioneer Country initiative " .   Baad ya kuzuru nchi 14 ambazo zipo katika mradi huo waawali .    Ki karte amesema kuwa amebaini kuwa kunamatatizo makuu matatu kwenye nchi maskini na nchi za uchumi wa kati ambapo vijana wengi wanastahili kuwepo mashuleni na hawapo shuleni. Pia amesema wanafunzi wengi waliopo shuleni hawamalizi masomo yao na jambo la tatu watu waliopo mashuleni hawapati elimu wanayostahili kuipata .    Pia amependekeza kuwa tume imependekeza kuwa nchi husjka zinapaswa kufanya mageuzi katika mifumo yao ya elimu ili kuwez kupata matokeo chanya katika sekta hiyo