Posts

Showing posts from November 5, 2017

MSIMAMO WA VPL BAADA YA MZUNGUKO WA 9 KUKAMILIKA LEO HII .

Image
   Mzunguko wa 9 kayika lig kuu VPL umekamilika leo hii kati ya michezo miwili iliyopigwa katika viwanja. Baada ya matokeo hayo ya michezo hiyo msimamo wa ligi ku ya VPL umebadilika na kuwa ifuatavyo:

KICHUYA AIWEKA SIMBA KILELENI MWA VPL SIMBA IKISHINDA GOLI MOJA

Image
        Goli pekee la Kichuya limeifanya Simba kurudi kileleni mwa ligi kuu ya VPL baada ya kuifunga Mbeya City kaika chezo uliomalizika hii jioni ya leo . Kabla ya mchezo huo Simba ilikuwa nyuma kwa point moja nyuma ya yanga na Mtiwa amazo zilitoka sare katika michezo yao ya jana lakini ilikuwa imezidiwa na Azam ambayo ilishida mchezo jana dhidi ya Ruvu Shooting. Ushindi wa Simba wa leo umeipa point 3 na kufanya kuwa na point 19 sawa na Azm lakini Sinba inaongoza kwa kuwa na wastani mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa .  Simba imeshinda mechi 3 kati ya 5 ilizocheza na mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine , Mbeya kabla ya mchezo wa leo simba ilikuwa imeshinda mechi 2 kati ya nne huku mchezo mmoja wakitoka sare na mwingine walipoteza.   Kichuya anafikisha magoli matano (5) sawa na Ibrahimu Ajibu wa yanga huku wakiwa wamezidiwaana Mohamed Rashidi wa Tanzania Prison mwenye magoli sita (6)huku wakiwa wamezidiwa na kuongozwa na Emanuel Okwi wa Simba mwenye magoli tisa(9).