Kocha mkuu wa timu ya Tanzania Taifa Star SALUMU MAYANGA ametaja kikosi cha timu ya taifa na kueleza kuwa ameacha nafasi nne wazi ikiwa anangoja majibu ya Zanzibari kutoka FIFA ambapo waliomba nawao watambulike km nchi inayojitegemea jatika kuiwasilisha nchi yao katika mashindano , kocha huyo amesema kuwa endapo Zanzinmbarhaitofanikiwa basi nafasi hizo atazijaza kwa wachezaji kutoka zanzibar ambao hajawaita. Wachezaji walioitwa katika kikosi hicho ni kama ifuatavyo: BENCHI LA UFUNDI: Kocha mkuu: Salumu Mayanga Kocha msaidizi: (nafasi bado iko wazi ) Kocha wa magolkipa:Patrick Mwangata Msjmamizi wa itifaki : Dani Msangi Daktari wa timu : Richard Yamba Daktari wa viungo : Glibet Kigadya Mtunza vifaa :Ally Ruvu WACHEZAJI: Golkipa 1- Deogratius Mnishi (Yanga) 2- Saidi Mohamed (Mtibwa) 3- Aishi Manula (Azam ) Walinzi:Shomali Kapombe(Azam) Ramadhani Kessy(Yanga) Vicent Andre(Yanga) Gadi