Posts

Showing posts from May 9, 2017

MESSI WA PILI AIBUKA DUNIANI .

Image
         Mwanafunzi mmoja nchini Iran amelazimika kupelekwa kituo cha polisi kisa kikubwa ikiwa ni kufanana na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Algentina na klabu ya Barcelona .    Watu wengiwamekuwa wakiomba kupiga pich na kijana huyo aitwaye Rez Parasetesh na kulazimika kuwepo kwa msongamano wa watu kila atokeapo .  Hivyo Polish walilazimika kumuondoa mara moja ili kupunguza msongamano wa watu . Mkanganyiko huo ulianza miezi michache ambapo baba mzazi wa kijana huyo aliyefenana na Messi  alipopiga picha akiwa amevalia jezi ya Barcelona yenye namba 10 .    Rez anaumri wa miaka 25 hivi karibuni alianzsha ukataji wa nywele unaofana kabisa na mshambuliaji wa Barcelona huyo .