Posts

Showing posts from March 3, 2017

LEMA AACHIWA KWA DHAMANA

Image
Mbunge aliyekuwa ameshikiliwa kwa miezi kadhaa Wa Arusha mjini Godbles Lema ameachiwa huru na mahakama Kwa dhamana ya Tsh. Mil 3 . Lema alitakiwa kuwa na wadhamini wawili

TOA MAONI YAKO ILI KUBORESHA HUDUMA ZETU

Image
    Ndugu msomaji Wa habari zetu unaombwa kuchangia maoni yako hapa ili kufanya huduma zetu ziendelee kuboreshwa na uendelee kuifurahia blog hii .    Pia km utakuwa na matangazo ya biashara unaombwa kuwasiliana nasi Kwa namba 0625954293 au Facebook Samweli Barca Misangle au www.samwelim418@gmail.com Pia unaombwa kuisambaza Kwa kushare habari zetu ili blog hii iendelee kuimalika zaidi . Mchango Wa maoni yako na kushare kwako Mara kW Mara ndipo tunapopata nguvu na hamu yakendelea kukuletea habari .                                   Ahsante sana fans wote .                                       By:                                                          Www.mmisanglehotnews.blogspot.com

DIAMOND: WIMBO WA SALOME HAUNA MATUSI ...

Image
     Mkali Wa bongo fleva anayetamba na kibao cha Mary me Diamond Platinum amedai kuwa wimbo wake uliosumbua kimataifa Wa Salome ambao amemshirikisha mwanamziki kutoka katika kundi analoliongoza la WCB RAY VAN  hauna lugha ya matusi hata kidogo kama ambavyo watu wamekuwa wakidai Bali amesema kuwa wimbo huo umetumia maneno ya kimahaba zaidi kitu ambacho kinapelekea watu kuuelewa vibaya .