TETESI ZA USAJILI VPL ASUBUHI YA LEO HIZI HAPA:
Baada ya kufjnguliwa Kwa pazia la usajili Wa wachezaji Sikh chache zilizopita na kuibuka tetesi mbali mbali za usajili Wa wachezaji , nimekusogezea habari za usajili hapa chini ambazo nizakuaminika zaidi . Klabu ya Yanga imekanusha kufanya mazungumzo na mshambuliaji Wa zamamni Wa TP Mazembe ambaye ni mtanzania Thomas Ulimwengu hapo kulkkuwa na taarifa zikisambaa mtaani kuwa Yanga ipo katika mazungumzo na mchezaji huyo. Donald Ngoma natajwa kutimukia klabu ya Singida United japo uongozi Wa Yanga umesema hauna taarifa kama hizo na Ngoma bado ni Mchezaji wao halali. Azam inakaribia kjmalizana na washambuliaji wawili kutoka Zambia na Ghana katika dirisha hili Dogo la usajili ili kuziba nafasi ya mshambuliaji walieachana naye kutoka nchini Ghana Yahya. Simba imeambiwa kuwa haina haja ya kuongeza mshambuliaji yeyote katika usajili Wa awamu hii kwani kikosi chao bado kinaonekana kiko vizuri na kinaweza kufanya vizuri hata bila kuongeza nguvu . Pa