Posts

Showing posts from April 4, 2017

YANGA YAWARUHUSU WANAOTAKA KUONDOKA.

Image
   MABINGWA watetezi wa ligi kuu tanzania bara na wanaoongoza ligi kuu kwa point moja mbele ya mahasimu wao Simba sport Club huku kila timu ikibakiwa na mechi tano mkononi .    Yanga sjku ya jumamosi itacheza mhezo wa play-off ya kombe la shirikisho dhidi ya MC ALGER katika uwanja wa taifa na watarudiana badae huko Algeria .    Uongozi wa timu huyo umetoa ruhusa kwa mchezaji atayetaka klabuni hapo iwapo tu atafata utaratibu ,  katibh mkuu wa klabu huyo Boniface Mkwasa amesema .      "Kama kuna mchezaji anataka kuondoka awe muungwana atueleze mapema na taratibu zifuatwe.  Pia kama kunachezaji mwalimu ataona hamuhitaji sisi tutafata taratibu na kumweleza mapema kabisa. Wakati akiyasema hayo Mkwasa kuna hatari ya timu huyo kuwakosa wachezaji wake muhimu ambao mikataba yao inaelekea kuisha ndani ya msimu huu.    Wazimbabwe wawili Donald Ngoma na Thaban Kamusoko mikataba yao inaelekea kuisha mwishoni mwa msimu huu na yanga haijaonesha nia ya kuzjngumza nao ili kuwaongezea mi

NAY WA MITEGO HATARINI tena.

   Msanii wa muziki wa bongo fleva ainaya Hip Hop Nay wa Mitego imbaada ya kutoa wimbo wake wa "WAPO" wiki kadhaa zilizopita wimbo uliopelekea akamatwe kabla ya Rais Magufuli kuamuru aachiwe huru .   Nay wa mitego ameibuka tena na kudai kuwa anasakwa kila kukicha na watu wanaotaka kumpoteza kabisa ikibidi asionekene Duniani.  Nay wa Mitego ameandima manno haya kupitia katika mtandao   "Usalama wa maisha yangu umekuwa mdogo kwa sasa , wanapanga kunipoteza ikibidi nisiwepo kabisa duniani. Nipo tayari kwa chochote wanachopanga kunifanya coz sijapanga kabisa kupambana nao , mimi ni mwanamziki si vjnginevyo. Kwa chochote kitakachotokea familia yangu itakuwa na chakuongea , siwezi kuhama nchi wala kukimbia niafia hapa hapa . Nyie ndiyo mtakaonilinda sna mlinzi na   sitarajii kuwa na mlinzi .  OnlyGod.   #wapo   #truth

MBWANA SAMATA ANAVYOZIDI KUWA GHALI ULAYA.

Image
    Mshambuliaji wa KG GENK na timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samata thamani yake imezidi kupanda ulaya na duniani kwa ujumla . Thamani ya Samata kwa sasa imefikia kiwango cha Euro Mil.  3 sawa na Tsh.  Bil 7. 1 za kitanzania kwa mujibu wa mtandao unaohusika na thamani za wachezaji Duniani . Thamanihiyoimekuja mara baada ya Samata kufikia kiwango cha magoli kilichokuwa kikihitajika ambapo ni mpaka sasa anamagoli 7 katika mechi sita za hivi karibuni akiwa na Genk pamoja na mawili aliyoyapachika katika mechi ya Taifa Star dhidi ya Botswana nchini Tanzania mabadiliko hayo yamefanyika mwishoni mwa mwezi marchi ambapo alionekana kung'ara katika ishindi wa bao 4-1 dhid

KIKWETE ASHANGILIWA KWA DK 10 BUNGENI NA WABUNGE WAKIMTAKA AWASALIMIE .

Image
   Vikao vya bunge la badgeti vimeanza leo mjini Dodoma ,  ambapo mke wa rais mstaafu mama Salima Rashidi Kikwet aliapishwa kuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais Magufuli.    Katika bunge hilo rais mstaafu Mh.  Jakaya Kikwete alihuzulia kama mgeni na baada ya kuhudhuria wakati wa utambulisho wa wageni wabunge walianza kupaza sauti zao kwa kusema kuwa wamemis huku wakimuomba ashuke aje kuwasalimi lakini Spika wa Bunge Job Ndugai aliwaambia kuwa inatosha .      Spika wa bunge amesema kuwa haijawahi kutokea katika miaka yake yote akiwa bungeni hapo kuona mgeni akishangiliwa kama ilibmvyotokea leo kwa mh.  Jakaya Kikwete.  Bunge limeanza leo mjini Dodoma .