Posts

Showing posts from March 18, 2017

TUNDULISU AINGIA KATIKA HISTORIA MPYA .

Image
       Wajumbe wa chama cha wanasheria Tanganyika(TLS),  leo wamefanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao. Uchaguzi huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama wa chama hicho wamekutana kutekeleza mipango ya chama hicho,  matokeo nikama ifuatavyo: RAIS(TLS): Kula zilizopigwa 1682 1. Tundulisu 1411= 88% 2. Francis Stolla 64 3. Victoria Mandari 176 4. Godwin Mwapongo 64 MAKAMU WA RAIS (TLS):      Kwa upande wa makamu wa rais mshindi ni Godwin Ngwilimi aliyekuwa mwanasheria wa TANESCO na kutimuliwa kwa kupinga escrow. WAJUMBE : 1.  Jeremia Moteseba 2. Gida Lambaji 3. Hussein Mtembwa 4. Aisha Sinda 5. Steven Axweso 6. David Shilatu 7. Daniel Bushele

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA ZANACO LEO.

Image
    Wawakilishi wa michuano ya kimataifa kutoka Tanzania timu ya YANGA inatarajia kushuka uwanjani leo dhidi ya timu ya ZANACO na hiki hapa ndiyo kikosi kitakachoshuka uwanjani kuipeperusha bendera ya kikosi hicho.  Watakaoanza: 1.  Deogratius Munishi 2.  Ramadhani Kessy 3.  Haji mwinyi 4.  KelvinYondani 5.  Vicent Bosoue  6.  Justine Zulu 7.  Simon Msuva  8.  Thabani Kamsoko  9.  Obrey Chirwa 10. Haluna  Niyonzima  11. Godfley Mwashua Akiba: Ally Mustafa Bartez Juma abdul Osca Joshua Said Juma Makapu Deusi Kaseke Emanuel Martine