Posts

Showing posts from November 17, 2017

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI HAYA HAPA TAREHE 18 NOVE.2017

Image

KICHUYA KUIKACHA SIMBA KWA MILIONI 177.

Image
         Mshambuliaji winga wa Simba Shiza Ramadhani Kichuya .Kuna tetesi zinazosambaa katika mitandao mbalimbali kuwa mchezaji huyo amekataa kusaini mkataba mwingine klabuni hapo baada ya kupata shavu LA kwenda Misiri.      Kichuya nimiongoni Wa wachezaji kadhaa Wa Simba ambao mikataba yao inaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu itamalizika na tayari viongozi Wa klabu ya Simba wameanza kukuna vichwa ili kuhakikisha wanapata tena sahihi za wachezaji hao .   Hata hvyo Kwa kiwango kilichoonyeshwa na winga huyo tangu atue msimbazi na katika mashindano ya COSAFA iliyofanyika Africa Kusini Mwezi July ,kimempa ulaji kutoka kwenye timu huyo kutoka ukanda Wa Afrika Kaskazini.    Meneja Wa mchezaji huyo Prof.Midundo Mtambo amedokeza kuwa wanataka mchezaji huyo akacheze soka LA kulipwa nje ya nchi kwani itakuwa faida kwake (Kichuya )na Taifa Kwa ujumla.