Posts

Showing posts from April 1, 2017

KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA NA KAGEARA SUGAR KAITABA.

Image
   Kuelekea mcheo utakao pigwa pale mjini kagera katika uwanja wa Kaitaba , ikiwa ni mchezo kati ya Kagera Sugar na Simba spot Club nimekuletea mtazamo kidogo kuhusiana na timu hizo na umhimu wa mchezo huo.   Itakuwa ni mechi ngumu kwa kila upande kulingana na matokeo ya jana pale Taifa ambapo timu ya Yanga iliishinda Azm F C kwa goli moja lililofungwa na Chirwa katika dk ya 70 . Ugumu wa mchezo huu upo wapi unajua ?  Ni kuwa Kager Sugar wakishinda wataitoa azam katika nafasi ya tatu ,  na Simba akishinda atarudi katika nafasi yake ya kwanza hivyo mchezo wa leo utakuwa mkali sana na wakukata na shoka kwa kila timu kuhitaji ushindi kwa namna yoyote ile . Kazi itakuwa ngumu sana kwa upande wa Simba ambapo watakuwa na presha kubwa kuhakikisha kuwa wanashinda na kurejea kileleni mwa ligi hali ambayo inaweza kupelekea kuwaharibia zaidi mana kagrea watacheza kwa presha ya kawaida japo pia wanhitji ushindi .  Wachezaji wa kuchungwa kwa upande wa Kagera ni MBARAKA YUSUPH na SALUM  KANON kwa

BURUDIKA NA KATUNI 16 KATIKA MAPUMZIKO YAKO YA WEEKEND

Image
  Ndugu mpenzi na msomaji wa blog hii leo ni siku ya mapumziko baada ya pilika za juma zima ,  hivyo unaweza kujionea katuni kimi na sita (16) hapa ili weekend yako iende vizuri kabisaa.

YANGA YAPAA KILELENI MWA LIGI KUU VPL.

Image
     Yanga imekaa kileleni mwa ligi kuu leo baada ya kuibuka na ushindi wa goli moja .            Ligi kuu VPL leo imeendelea kwa michezo miwili , macho na masikio ya watanzania wengi yalikuwa katika mchezo uliopigwa jijini Dar es Salaam ambapo timu za YANGA na AZAM FC zilikuwa zinaonyeshana ubabe .    Yanga alikuwa mwenyeji katika mchezo huo ,  mchezo ulianza kwa timu ya Yanga kuzidiwa na AZAM kwa kila namna , wachezaji wa Azam walionekana kuwa vizuri zaidi tofauti na wale wa Yanga .  Mpaka timu hizo zinaenda mapumziko zilikuwa sare ya 0-0 .   Baada ya mapumziko kuisha timu hizo zilirejea uwanjani kwa kila moja kutafuta goli la kuongoza ,  mpaka dk ya 69 hakuna timu iliyokuwa mbele ,  dk 70 mshambuliaji Obrey Chirwa aliipatia goli Yanga baada ya kumalizia pasi maridhawa iliyopigwa na Haruna Niyonzima na kufanikiw kuwatoka mabeki wawili wa Azam .   Ushindi huo unaipekeka kileleni Yanga kuongoz kwa point moja mbele ya Simba ambayo itashuka kesho kuchuana na Kagera Sugar mjini Kager

KWA MWENDO HUU SINGIDA UNITED LAZIMA WAFANYE MAAJABU KATIKA LIGI KUU VPL 2017/2018.

Image
        Klabu  ya Singida United leo itafanya Suprise katika kuendeleza usajili wao ambapo watatangaza mchezaji mwingine na kusisitiza kuwa nafasi zote saba wao watazijaza msimu huu lengo ni kuwa na kikosi imara katika usiriki wao katika ligi kuu baada ya muda mrefu bila kusiriki. Na saprise ya wachezaji wapya watakaowatangaza ni kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kwa Uganda, Rwanda na Burundi na wote ni wachezaji kutoka timu zao za Taifa sasa usije shangaa akawa ni Mnyarwnda Iranz Jean Claude wa APR.       Na hii ni baada ya kuwasajili wazimbabwe kiungo Elisha Mroiwa mwenye miaka 27 , Wisdom Mtasa miaka 22 ambaue ni mshambuliaji wa Taswadaza Kutinyu. Katibu mkuu wa Singida United Abdurahman Sima aliweke wazi nafasi saba watakazpsajili kuwa nibeki wa kulia, kushoto, kati, kiungo mkabaji , kiungo mshambuliaji pamoja na mastriker namba tisa na kumi na wote lazima wawe wanatoka timu zao za Taifa "Kesho (leo) tutatangaza usajili wetu mwingine wa wachezaji ambao watakuwa wanatoka k

SERIKALI YASEMA HAITOWAVUMILIA AKINA BASHITE .

Image
Waziri wa nchi ofisi ya nchi utumishi wa umma  Angela Kariuki amesema kuwa inakadiliwa watumishi 4300 kuajiliwa  Katika kada ya elimu na usanifu wa maabara ambapo ajira hizo mpya zinakuja baada ya kukamilika kwa zoezi zima la uhakiki wa watumishi hewa.  Hayo yamebainishwa na waziri huyo mkoani Tabora wakati akizungumza na wanachuo ambapo amesema kwa mud mwingi taifa limekuwa likikabiliwa na wimbi la watumishi hewa mbao wamekuwa wakilipwa fedha nyingi nje ya jtaratibu wa serikali.      Aidha amesema kuwa serikali haitowafumbia macho watu ambao wamekuwa wakitumia vyeti na namba za vyeti ambazo siyo zakwao huku akiwataka watanzia kutambua madhara ya kutotumia vyeti halisi kuwa ni utolewaji wa huduma zisizo sitahili na kukidhi uhitaji wa watanzania huku akiwataka wahitimu katika kada mbalimbali kutowaonea haya watu ambao wanataka kupora ajira zao.                                     Imeandikwa na                                   Misango Samweli                              

LIPUMBA KUNYIMWA RUZUKU.

Image
       Mahakama kuu imemuamuru msajili wa vyama vya siasa nchini kutotoa ruzuku kwa Prof.  Lipumba wa chama cha wananchi CUF na kundi lake .  Zuio hilo ni mpaka shauri dhidi ya msajili na mwanasheria mkuu wa serikali kuhusu kutoa fedha za ruzuku sh.  Milioni 369 kwa njia ya wizi na udanganyifu litakaposikilizwa na kutolewa maamzi.   Uamzi huo umefikiwa na jaji Dyansobela baada ya kukubaliana na hoja zilizowasilishwa kwa hati ya dharula.          Jopo la mawakili wa CUF , liliomba kutoa hukumu hiyo kwakuwa fedha zilizotolewa awali shilingi milioni 369 hazijulikani zimetumika vipi ,na hazikuwa katika mikono salama wala hakukuwa na uthibiti wa chama kuhusu kuhusu fedha hizo ikizingatiwa kuwa Prof.  Lipumba alishavuliwa uanachama . Mawakili hao akiwemo Juma Nassor , wamesisitiza kuwa , mazingira yaliyopo kwa chama ni vyema na busara kwa fedha za umma zilizopaswa kutolewa kama ruzuku kwa CUF zikaendelea kubakia Serikalini .