Posts

Showing posts from March 16, 2017

PLUIJM KUJIUNGA NA SINGIDA UNITED.

Image
   Kocha wa zamani wa YANGA Hans Van Da Pluijm inasemekana ameamua kujiunga na kikosi cha timu Ya Singida United ambayo imepanda darja hadi ligi kuu Ya VPL msimu ujao . Tarifa zinadai kuwa kocha huyo amejiunga na kikosi hicho baada ya mazungumzo kati yake  na mwenyekiti wa kamati ya usajili wa timu hiyo ambaye pia ni mbunge wa wa Singida Mh.  Mwigulu Nchemba ambaye pia ni waziri wa mambo ya ndni ya nchi.

ZINGATIA HAYA KABLA YA KULALA .

Image
1. Usilale na kinyongo hata kama kuna mtu amekuudhi 2. Tarajia heri hata kama majaribu mengi yanakusonga  3. To a msamaha kwa kila aliyekuudhi hata kama       hujaombwa msamaha. 4. Onyesha furaha hata kama moyo wako unasononeka.  5. Wapende na kuwaombea adui zako uzima ili wapate       Ufanikiwapo.  6. Tafaari kesho itakuwaje .                    

BARNABA BOY ATUA WASAFI CLASSIC BAND (WCB)

Image
   Msanii wa bongo fleva anayetamba kwa sasa na kibao cha mapenzi ,  BARNABA BOY amejiunga kufanya kazi na lebo ya WCB na kusema kuwa ni bora aibiwe na msanii mwenzake kuliko kuibiwa na mtu binafsi .