Posts

Showing posts from April 20, 2017

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI (TUCTA)

Image
      Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk .  John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA) ikulu jijini Dar es Salaam .   Pamoja na mambo mengine viongozi wa TUCTA wamemhakikishia kuwa vyama vya wafanyakazi vitafanya kazi bega kwa bega na serikali katika kusimamia haki na uwajibikaji wa wafanyakazi . Mhe.  Magufuli amesema serikali inawapenda na ipo tayari kuboresha masilahi yao lakini amewataka wafanyakazi kutanguliza maslahi ya Taifa .

TAFAKARI NA KATUNI HAPA .

Image
  Nimekuwekea katuni bora haapa katika elimu, siasa na michezo . Wasiliana nasi .  0625954293 Whatsap 

WEMA SEPETU & GABO WAJA UPYA .

Image
        Wasanii wakali na wakubwa katika tasnia ya filamu inchini Wema Sepetu na Gabo wameelza kuachia move Kali na kusema kuwa itakuwa na mapinduzi makubwa sana katika industries ya bongo move ambayo kwa sasa wapo katika maandalizi na kuwaahidi mashabiki wao wakae mkao wa kula kwani ni bonge la move .

MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA MUUNGANO KUFANYIKA DODOMA

Image
          Kwa mara ya kwanza maadhimisho ya sikukuu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanatarajiwa kufanyima katika makao makuu ya nchi mjini Dodoma . April 26 mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika kwa mara ya kwanza katika mkoa huo ikiwa ni mwendlelezo wa kutimizwa kwa ahadi ya serikali ya kuufanya mkoa huo kuwa kweli ni makao makuu ya Nchi kwanj mpaka sasa hata wizara karibuni zote zinaendelea kuhamia Dodoma . Maadhimisho hayo yatakuwa ya muungano kutimiza miaka 53 tangu kuwepo kwake ambako kulizaa nchi ya Tanzania .

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.

Image
Utamaduni wa timu mbalimbali duniani kubadili jezi zake kila baada ya msimu wa ligi kumalizika umekuwa ukifanyika mara kWA Mara na jezi hizi wamekuwa wakizitumia katika ligi ya nchi husika na mashindano mengine hata ya kimataifa . Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii nikuwa zinaonyesha jezi ambazo zitakuwa zinatumiwa na klabu ya Yanga msimu wa 2017/2018 . Jezi hizo bado hazijathibitishwa na kutangazwa  rasmi na uongozi wa yanga lakini zinasemekana kuwa ndizo zitakazotumika msimu wa 2017/2018. Ufafanuzi: Jezi za kijani : Hizi zitakuwa ni jezi za klabu ya yanga ambazo zitatumiwa katika na timu inapokuwa ikicheza michezo yake katika uwanja wao wa nyumbani . Jezi ya njano:  Hii watavaa pindi wanapokuwa wancheza nje ya uwanja wak wa nyumbani . Jezi nyeusi:    Hii itakuwa jezi yao ya tatu katika msimu ujao .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

Image
        Mastaa wawili wanaounda group la mziki la scopion Girls Baby Madaha na Isabela waliwaacha watu midomo wazi baada ya kujiachia kimahaba kama mtu na mpenziwe . Madaha na Isabela walilishana keki kwa style ya njiwa'kugusianisha midomo ' ikiwa nikwenye bethidei ya Isabela iliyofanyika katika hotel ya Belinda iliyopo mbezi beach jijini Dar. Akizungumzia isue hiyo mmoja wa wahudhuriaji ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kuwa tukio hilo ni lakushangaza kwanilinaashiria kuna kingine nyjma ya pazia kati ya wasanii hao kinaendelea . "Kiukweli Isabela na Madaha wamenishangaza sana,  kulishana gani keki huko kama mtu na mpenziwe inaashiria kuna kjngine nyuma ya pazia kinaendelea, inawezekana wenzetu ni wapenzj wa jinsia moja (wasaganaji). Maana siyo kwa ukaribu huo tena hadharani kweli dunia imevaa sketi " alisema mmoja wa wahudhuriaji .

DARASA KUJA UPYA ZAIDI ACHANA NA WIMBO WA MZIKI HII NI KALI ZAIDI

Image
Mashabiki wengi nchini wanataka kujua kuwa msanii Darasa atakuja na ngoma gani mpya baada ya kukaa chimbo kwa muda mrefu na bado yuko na tour zake Rwanda na Burundi na baada ya hapo ataachia ngoma yake mpya .      Director Hanscana ambaye kwa sasa anafanya kazi na rapa huyo amefunguka juu ya ujio wa rapa huyo ambaye bado anatamba na ngoma yake ya Muziki .  "Sisi tumejiandaa vizurj kwa sababu tunajua mashabiki wanataka nini " alisema Hanscana       "Maandalizi ni makubwa sana nikama tunaandaa maraisi watano wa nchi , kwahiyo tumejipanga vizuri kuhakikisha jamaa anarudi vizuri kwenye game" alisema Hanscana .  rapa huyo alikuw aachie wimbo mpya mwezi huu lakini ameshindwa kutokana na tour yake ya kimataifa .  Video ya wimbo wa muziki ya rapa huyo mpaka sasa imeangaliwa mara 7056225 katika mtandao wa youtube kwa kipindi cha miezi mitano . 

JOSE CHAMELION KUACHANA NA MKE WAKE BAADA YA MIAKA 10 KUWA PAMOJA .

Image
   Daniela Atim ambaye ni mke wa mwanamziki kutoka nchini uganda Joseph Mayanja ,  maarufu kama jose Chamelion amewasilisha ombi kwa hakimu katika moja ya mahakama nchini uganda kutaka kuivunja ndoa yake . Daniela na Chamelion wameishi yapata miaka 10 mpaka sasa na wamefanikiwa kupata watoto wanne pamoja Daniela amedai kuwa amekuwa akipigwa na msanii huyo na kunyanyaswa sana