Posts

Showing posts from September 16, 2017

TENGENEZA PESA KWA GHALAMA NAFUU KABISA HAPA .

Image
Zulia la sebleni au chumbani.       Katika dunia ya leo suala la kutegemea ajir za kuajiliwa limekuwa gumu sna , katika kuepuka swala la kutafuta ajira nimekuletea hata njia nzuri ya kupata pesa kwa urahisi zaidi .  Jiunge katika mafunzo ya kutenzeneza zulia za sebuleni , mikoba ya akina dada na mafunzo mbalimbali ya vitenge yatakayokuwezesha kujiajiri kwa njia rahisi kabisa .   Mafunzo yatakuwa rahisi sn wala hakuna ugumu wowote utakaojitokeza kikubwa ni kuwa makini na mafunzo . Mikoba ya akina dada na akina mama  Ili kupata mafunzo hayo unachotakiwa nikuwasiliana nami kwa namba zifuatazo kwani malighafi nirahisi sn na zinazopatikana katika maeneo yako kwa urajisi hakuna malighafi ngumu hapo .  0625954293 0659116814 0764102390 Au  Samwelim418@gmail.com

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO

Image