Posts

Showing posts from July 11, 2017

MSANII MPYA WA NYIMBO ZA INJILI ANATAFUTA MDHAMINI WA KUTOA VIDEO YA ALBAMU YAKE .

Image
    Msanii chipukizi wa yimbo za injili Flora Chilumba kutoka mkoani Lindi wilayani Nachingwea amekamilisha album yake yenye nyimbo 8 za injili na hivi karibuni itakuwa hewani .  Aidha msanii huyo akizungumza na mMmisangleHotNews.com amesema kuwa anatafuta udhamini ili aweze kuachia video za album yake hiyo kwani mpaka sasa ameweza kurekodi audio kwa gharama zake mwenyewe na nyimbo hizo zimefanyika kwa Producer maarufu nchini anayejulkkana kwa jina la ENOCK NYONGOTO (Producer Eck ).   Msanii huyo pia ameeleza kuwa kwa atakayekuwa tayari kwaajili ya kushirikiana naye anaweza kuwasiliana naye kupitia simu nambali 0657962027/0627783625.

DIAMOND PLUTNUM AWEKA WAZI UFREEMASON WAKE .

Image
  Msanii maarufu wa bongo fleva nchini Diamond ameweka wazi ufreemason wake baada ya kutoka kwa video yake ya Eneke ambayo ameonekana akiwa amevaa cheni ambazo zinamsalaba unaoonekana kuwa ni ishara tosha kuwa msanii huyo ni mwana chama wa freemason .    Wataalamu wa mambo hayo wanadai kuwa msalaba wa aina aliyovaa Diamond ni miongoni mwa alama zinazotajea kuwa ni za Freemason.