MSIMAMO WA LIGI KUU TANANIA BARA (VPL)BAADA YA MCHEZO WA LEO MBAO FC & SIMBA SC
Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara vpl leo imeendelea kwa mchezo mmoja jijini mwanza kati ya wenyeji Mbao FC dhidi ya Simba SC , mchezo huo umemalizik kwa matokeo ya draw 2-2 na kuufanya msimamo wa ligi kuu kubadilika kama inavyoonekana ktika jedwali hapo chini . Ligi kuu vpl pia itaendlea siku ya jumamosi na jumapili kwa michezo mingi ikiwa ni katika mzunguko wa nne .