Posts

Showing posts from June 21, 2023

MAYELE NA YANGA MAMBO SAFI KABISA

Image
HABARI ZA MICHEZO : TETESI ZA SOKA MITAA YA JANGWANI . Za chini ya Kapeti jioni ya leo kutoka kwenye kikao ni kuwa Mayele ataendelea kutetema ndani ya #nbcpremierleague  baada ya kukubaliana  kuongeza tena Miaka Miwili na sasa atalipwa milioni 28 kwa mwezi na kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi katika Ligi kuu Tanzania. Mayele amemzidi Azizi Ki anayelipwa milioni 24 kwa mwezi. Msiyempenda bado yupo.

MAN CITY NA B'MUNICH VITA KALI JUU YA WALKER .

Image
HABARI ZA MICHEZO : NANI KUMSAJILI WALKER KATI YA MAN CITY KUMBAKIZA AU BAYERN MUNICH . Beki wa Manchester City, Kyle Walker yupo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa EPL, FA na Klabu Bingwa Ulaya licha ya kutakiwa na Bayern. Bayern wanamuhitaji sana Walker lakini Man City wanamuhitaji zaidi beki huyo wa Uingereza. #WasafiSports By: Sam_Misangle Whatsap  : +255629552663 

YANGA NA MORISONI WAMALIZANA USIKU HUU.

Image
HABARI ZA MICHEZO : YANGA WAACHANA RASMI NA WINGA BENARD MORISON . KUPITIA UKURASA WAO WA INSTAGRAM YANGA WAMEANDIKA KUWA : 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 Bernard Morrison  "Tunamshukuru Morrison kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC. " #TimuYaWananchi  #DaimaMbeleNyumaMwiko