Posts

Showing posts from October 26, 2017

KENYA: MWENYEKITI WA IEBC AAHIRISHA UCHAGUZI.

Image
        Mwenyekiti wa IEBC nchini Kenya Wefura Chebukati ameahirisha uchaguzi katika baadhi ya maeneo nchini Kenya na kusema kuwa uchaguzi huo utafanyika Oktoba 28 kwa kile kinachodaiw akuwa kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile unyesha w mvu kubwa.   Chebukati akitaja maeneo ambayo uchaguzi umeahirishwa ni pamoja na Kisumu Migori, Siaya na Homabayi na kuwa katika maeneo hayo uchaguzi utafanyika siku ya jumamosi oktoba 28 . Amesema wamefikia maamuzi hayo kutokana na maeneo hayo kuwa na changamoto mbalimbali ikiwemo masuala ya kiusalama jambo ambalo limefanya wapiga kura kuwepi na wasiwasi wa kiusalama .

MVUA ZILIZONYESHA DAR ES salaam ZALETA HASARA KWA WAKAZI WA JIJI HILO

Image
     Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam zimeendelea kuwa kero kwa wakazi wa jiji hilo kwa kusababisha watu kukimbia makazi yao na hasara kuwa kutokana na maji kujaa ndani .  Na inahofiwa mtu mmoja kupoteza maisha kutokana na mvua hizo ambazo zimepelekea hata usafiri kuwa wa shida katika jiji hilo .  Mamlaka ya hali ya hewa imesema kuwa mvua hizo zimevunja rekodi ya tangu kuanzishwa kwa baadhi ya vituo hivyo vya ufuatiliaji wa hali ya hewa miaka ya 1964

RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO YA WAKUU WA MIKOA

Image
      Jana rais Magufuli amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa , ambapo baadhi ya wakuu wa wilaya amewapandisha na kuwa wakuu wa mikoa . Mabadiliko ya wakuu wa mikoa hao nikama ifuatavyo: Mkoa wa Manyara -  Mkuu wa mkoa ni Alexander Pasto Mnyeti alikuwa mkuu wa wilaya ya Arumeru. Mkoa wa Geita - Mkiu wa mkoa ni Robert Gabriel Lughumbi alikuwa mkuu wa wilaya Korogwe. Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa mkoa ni Joachim Leonard Wagambo alikuwa mkuu wa Wilaya Nanyumbu. Mkoa wa Mara - Mkuu wa mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne. Mkoa wa Mtwara - Mkuu wa mkoa ni Gerasius Gasper Bakyanwa alikuwa mkuu wa wilaya Hai. Mkoa wa Dodoma  - mkuu wa mkoa ni Bi Christine Solomoni Mndene alikuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini. Lakini pia Raisi magufuli amemtea aliyekuwa IGP  Erneste Mangu kuwa Barozi wa Tanzania na Azizi Malima na kusema kuwa vituo vyao vya kazi vitakuja kutangazwa badae . 

YANGA NA SIMBA NI VITA KALI YA LWANDAMINA NA OMOG

Image
           Makocha George Lwandamina na Omog wanategemea kukutana siku ya tar. 28 cku ya jumamosi ktika uwanja wa uhuru.   Lwandamina na Omog wamekuana mara nne tangu Lwandamina akabidhiwe timu hiyo . katika mchezo huo ujo mwenye hasira sna ni Lwandamina kwani mchezo wa ligi kuu uliopita na uliochezwa tar:21 feb mwaka huu Lwandamina alichapwa 2 - 1 huku ya komba la  final ya kombe la mapinduzi 27 na fainal ngao ya jamaii (2017)ambayo Lwandamina alichapwa kwa mikwaju ya penat baada ya kumalizik kwa dk 90 .    Kitu pekee chakujivunia kwa timu zote mbili ni kuwa Simb wametoka kupta ushindi wa goli 4 huku yanga nao wakijibu mapeigo hayo kwa kushindi.

KOSA WALILOFANYA SIMBA KUELEKEA DAR DERBY YA JUMAMOSI HII.

Image
Mwenyekiti wa klabu ya Simba wa zamani Ismail Rage amesema yalifanyika makosa makubwa sna kuwaachia Hamis Tambwe na Ibrahimu Ajibu ambao wote walipotoka klabu ya Simba walijiunga na Yanga.  Akizungjmza Rage amesema kuwa vijana wangu walifanya makosa kumwachia Ibarahim Ajibu "Lazima niseme ukweli kuwa vijana wangu walifanya makosa kumwachia Ajibu ingawa inawezekana alikuwa na matatizo yake kwani nikijana mzuri , kinachotakiwa ukiwa kiongozi ni lugha nzuri ya kumvutia kila mchezaji " Mchezaji mzuri kama Ajibu au Tambwe ilikuwa ni makosa kumwachia kwenye klabu ya Simba kwa kuwa ameondoka na kwenda mikononi mwa watu . Siku zote watu ambao wanatoka Simba na kwenda mikononi mwa Yanga , basi tena wanapoteza ile thamani yao hata iwe ulikuwa mzuri kiasi gani . Ajibu amekuwa na mchango mkubwa kwa klabu ya Yanga tangu asajiliwe , amekuwa na magoli matano mpaka sasa katika mashindano ya VPL. Tambwe pia amekuwa akiendelea kufanya vyema tangu ajiunge na yanga baada ya