Posts

Showing posts from April 7, 2017

KIONGOZI WA FREEMASMON TANZANIA AFARIKI DUNIA.

Image
   Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu na kiongkzi waj jumuiya ya freemason Afrika Mashariki Jayantilal Keshavij "Andy" CHANDE ,   amefariki dunia leo huko Nairobi Kenya.     Chande alizaliwa tarhe 7 may 1928 huko Mombasa kenya na wakati wa utoto wake aliishi Bukene mkoani Tabora ambako ndio alipopat elimu yke ya msingi .    Elimu ya sekondari aliipata katika shule ya St. Peter's School iliyopo Panchgan  wilaya ya Satara Jimbo la Maharashtra nchini India.  Baada ya kufanya vizuri katika mitihani yake ndipo alipopata jina la Andy .  Ambalo ndilo alikm7wa akilitumia mpaka mauti yanampata .         Baada ya kumaliza elimu yake alirudi nchini Tanzania ambapo alikuwa akjmsaidia baba yake katika biashara .    Mnamo mwaka 1967 ambapo azimio la Arusha lilippittisha sera ya utaifishaji,  mali mali nyingi zilitaifishwa na kuwa za serikali .  Ujuzi aliokuwa nao Andy ulimfanya mwl.  Nyerere amteue kuwa meneja mkuu wa shirika la uhifadhi wa chakula na nafaka (National M

STEVEN KANUMBA ANAZIDI KUKUMBUKWA kWA MOVE ZAKE MPAKA LEO HII.

Image
  Leo ni April 7 ambapo ni siku ya mapumziko kufuatia kifo cha rais wa kwanza wa Zanzibar Karume ,  lakini siku hii pia katika tasnia ya bongo move inakumbukwa kwa kumpoteza msanii mkubwa sana Steven Charles Kanumba .      Msanii Kanumba  Alizaliwa Jan,  8 mwaka 1984 na kufariki April 7, 2012 inaelezwa na kusadikika kuwa aliuawa baada ya kukiuka mashariki ya freemason lakini habari za ukweli ni kuwa alidondoka baada ya kusukumwa na mpenzi wake  Elzabeth Mikael (Lulu)                   R I P      S. C. KANUMBA 

SIMBA KUKATA RUFAA MECHI YA KAGERA BAADA YA KUPIGWA 2-1 SABABU HII HAPA .

Image
   Mabingwa wa kihistoria wamewasilisha barua ya rufaa kwa TFF kudai point za mchezo wa Kagera uliochezwa jumapilj iliyopita kaitaba na kupoteza kwa kufungwa na Kagera 2-1 .   Katika barua yasimba, imedai kuwa Kagera Sugar ilimtumia Mohamed Fakhi mwenye kadi tatu za njano ambazo ni kukiuka kanuni na taratibu za ligi . Kamati ya saa 72 leo itakaa kupitia rufaa mbalimbali zilizowasilishwa ikiwemo ya simba kwa Kagera Sugar.   Wakati hayo yakifukuta uongozi wa Kagera Sugar umeibuka na kukana madai hayo kuwa siyo ya kweli kocha wa Kagera Sugar Meck Mexime amesema.   "Mimi niko makini sana na masuala ya kazi za wachezaji wangu , kila mchezaji wangu anapoonyeshwa kadi huwa naandika na pia namkumbusha meneja wangu kuandika kadi . Simba kama wameshindwa kutafuta point uwanjani wasitafute sababu ya kupata point Mezani" alisema