Wapuuzi nimekuja hapa wananitolea bastola eti rudi kwenye gari , nimepigana kuiweka CCM madarakani anakuja mpuuzi eti usishuke kwenye gari , mimi Nape sinakinyongo na uamuzi wa raisi wangu kama sikjmshawishi kunichagua hivyo hata kuniacha ni sawa. Nimejitahidi kutimiza wajibu wangu , tusihangaike na Nape tuhangaike na Nchi ya Tanzania inapokwenda nimekuwa mzalendo na muungwana nimekuwa nikitimiza wajibu wangu. Mimi ndiye nilisimama kuiinua CCM , nitasema kweli daima na fitina kwangu mwiko. Kinachotukutanisha siyo magwanda ya kijani bali ni imani nimefundishwa na mzee NNINAUYE kusema kweli na kusimamia ninachokiamini , mimi nilishawahi kufukuzwa CCM . Usipopita kwenye matatizo kisiasa hujakomaa, ili mbegu iote sharti ioze, nimepanda mbegu ya kusimamia haki, tanzania niyetu nchi yetu, mwalimu , kawawa waliondoka nasi tutaondoka . Lengo la kuja hapa ni kumshukuru rais kwa alichokifanya , namshhkuru kwa kuniamini kwa mwaka mmoja nampongeza MWAKYEMBE naye ni mwanahabari. Nimef