Wachezaji wa YANGA wanne wameonekana kuishi kwa wasiwasi mkubwa kikosini hapo baada ya kuonekana kumkwepa kocha wa kikosi hicho George Lwandamina kutokana na kutokuwa na uhakika katika kikosi cha kocha huyo na kuhofia kupitiwa na panga la kocha huyo msimu ujao . Mastaa hao ni Parto Ngonyani, Malimi Busungu, Matheo Anthon na Beno Kakolanya wamekuwa na maisha magumu kilabuni hapo . Kakolanya ambaye kazi yake ni kuzuia mipira isiingie wavuni na kazi ngumu kupata namba mbele ya Deogratius Munishi (DIDA) na Ally Mustafa(Barthez) . chipukizi huyo amesema kwamba hadi anakubali kujiunga na kikosi hicho alikuwa anafahamu kuwa kunaushindani mkubwa sn hadi kupata namba kikosini hapo , Kakolanya amesema kuwa : "Najua kwanini walinisajili na ndiyo mana nikipata nafasi najiyuma kuonyesha uwezo wangu, yanga walitaka kipa wa kuwaonyesha changamoto magolikipa wao lakini isingekuwa rahisi kwamba watapigwa chini. Straika aliyeanza kwa kasi kabla ya kupote, Malimi Busungu hakutaka ku