WACHEZJI WAFUATAO KUIKOSA MECHI YA SIMBA NA AZAM LEO.
HABARI ZA MICHEZO. Leo kutakuwa na mchezo mkali kati ya timu mbili za jijin Dar es salaam ambazo ziko katika mbio kali za kuwania ubingwa wa VPL mwaka huu. Lakini kuelekea mchezo huo kjkosi cha Azm kimetangaza wachezaji watakao ukosa mchezo waleo . Waziri Junior ni mchezji ambaye ataukosa mchezo huo kutokana na kuwa na majeruhi , lakini hata hivyo Waziri amekuwa siyo tegemeo kubwa sn katika kikosi hicho kutokana na kuwa amekuwa hapati namba ya kudumu toka ajiunge na kikosi hicho akitokea timu ya Toto African ya mwanza . Mwingine ambaye ataukosa mchezo huo ni Joseph Kimwaga ambaye naye amekuwa hapati namba ya kudumu katika kikosi hicho . Lakini kwa upande wa wapinzani wao wekundu wa Msimbazi wao wamedai kuwa watamkosa Juuko Mushid ambaye alikuwa anasumbuliwa na Typhod siku kadhaa zilizopita. Kwa upande wa mshambuliaji wao ambaye anaongoza kwa upachikaji wa magoli Emanuel Okwi wamesema kuwa mchezaji huyo yuko fit na niuamzi wa mwalimu tu kumuanzisha mchezaji huyo .