Posts

Showing posts from July 21, 2018

JEZI MPYA ZA CHELSEA ZA UGENINI NA BEI ZAKE .

Image
HABARI ZA MICHEZO Klabu ya chelsea ya uingereza tayari imeshatangaza jezi zake za michezo ya ugenini ambazo zitakuwa na rangi ya njano ambazo inaekezwa kuwa tahamni yake kwa moja itakuwa ni kiasi ₱aun 90 sawa na kisai cha 280000. Jezi hizi zitatumika kwa timu kubwa na ile ya wanawake na zile za vijana.