KESI YA KANUMBA SHAHIDI HAJUI CHANZO CHA KIFO CHA KANUMBA.
Wakati kesi ya mchazaji maarufu wa sinema nchini Sateven Kanumba ikianza knguruma , shahidi wa upande wa msanii huyo amesema kuwa hajui chanzo cha kifo cha msanii huyo. Katika kesi hiyo iliyoanza kusikilizwa jana jijini Dar es Salaam , Msanii Elizabet Michael maarufu kama LULU ameshitakia ka kosa la kumuua msanii mwenzake Steven Kanumba bila kukusudia . Lulu ambaye yuko nje kwa dhamana anafaiwa kufanya kosa hill eneo la sinza vatican wakia nyumbani kwa kanumba April 7 2012 . Alposomewa maelezo ya awali mwaka 2014 Lulu alikana kuhusika na mauaji hayo jambo ambalo lilipelekea kuitwa mashaidi na upande wa mashitaka ili kutoa ushaidi kuhusiana na tukio hilo dhidi ya mshitakiwa . Kwa Mara nyingine jana mshitakiwa huyo aliposomewa shitaka hill alikana kuhusika na tukio hilo ndipo upande wa mashitaka ukamwita shahidi wake wa kwanza kwa upande wake , Seth Bosco mwenye miaka 30 ambaye ni mdogo w a marehemu Kanumba.