UEFA : MATOKEO YA REAL Madrid NA PSG , LIVERPOOL NA FC portal.
HABARI ZA MICHEZO Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya imeendelea leo usiku wa michezo miwili mikali , huku macho ya mashabiki wengi yakiwa ni kwa mchezo kati ya Rael Madrid na PSG . MATOKEO YA MICHEZO HIYO : Fc Portal 0 - 5 Liverpool R. Madrid 3 - 1 Psg Katika mchezo kati ya Fc Portal dhidi ya Liverpool mchezji Sadio Mane ameibuka na mpira wake hii ni naada ya kupachika magoli matatu katika mchezo wa leo (Hat - Trick ). Katika mchezo wa timu hizi wa marudiano itawalazimu Fc Potal kushinda goli 6 ili waweze kuvuka hatua ya robo fainal . Wakati huo Madrid wamefanikiwa kuupata ushindi huo wa 3 -1 hivyo PSG itawalazimu kupata ushindi nyjmbani kwao ili waweze kusonga mbele .