Posts

Showing posts from March 2, 2017

GOLI LA CHIRWA NI SAHIHI

   M/Kiti Chama amesema kuwa goli hilo nilikuwa halali kabisaa na kusema kuwa , mwamzi Simba hakuwa katika kiwango kizuri japo ni mwamzi mzuri .Hivyo kamati itapitia ripot na kama atasema kuwa alishika mpira cChirwa itafutwa adhabu hyo kwn itakuwa cyo kweli

MAMA YAKE DIAMOND AMJIA JUU ZARI

Image
    Mama mzazi Wa msanii Diamond Platinum ambaye ni baba Wa watoto wawili amemjia juu mwinga wake Mke Wa diamond ZARI ZE BOSS  kutokana na maneno yanayoendela katika mitandao ya kijamii kuwa mtoto Wa pili Wa msanii huyo ni mtoto Wa mtalaka Wa Zari ambaye walishaachana kitambo IVAN

ZIARA YA RAIS MAGUFULI KILWA

Image
    Raisi magufuli amwambia kigogo kukamilisha ujenzi Wa Barabara kutoka Nankurukuru mpaka Hospitalini mwa kijiji hicho ukamilike ndani ya mda mchache tena Kwa kiwango cha Lami . Ameyatoa maagizo hayo akiwa ziarani kilwa mkoani Lindi hii Leo. Rais pia amesisitiza kuwa kazi ya serikali siyo kutoa chakula Kwa wananchi balibali kazi ya serikali nikutoa huduma za umeme , maji , matibabu ,elimu na mambo mengine ya msingi . Pia amewataka wananchi kuhakikisha wanalima mazao ya muda mfupi km ufuta , ulezi , mihogo nk Pia ameagiza wananchi waliovamia eneo lililotengwa Kwa ajili ya kituo cha mabasi ( stand ) Nangurukuru kuhakikisha wanaondolewa eneo hilo kuanzia kesho .

LUIZ ENRIQUE KUIACHA BARCELONA .

Image
        Mchezaji Wa zamani Wa Barcelona ambaye Kwa sasa ni kocha Wa timu hiyo amesema anampango Wa kuiacha timu hiyo ifikapo mwishoni mwa msimu juu . Amedai kuiacha timu hiyo kwani anahitaji kupumzika na ukufunzi Wa soka . Mbali na kuiacha pia msimu juu umekuwa siyo mzuri sn Kwa kocha huyo tangu msimu ulipoanza . ukiachana na ligi kuu kuwaendea vibaya lakini pia hatahata katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) kikosi hicho kipo katika hali mbaya baada ya kupigwa 4-0 na PSG huko ufaransa na kupoteza matumaini ya kusonga mbele . Barcelona watarudiana na PSG huko Camp Neou kwao lakini ili wasonge mbele miamba hao wanatakiwa kushinda goli zaidi ya 4 kitu ambacho hata mashabiki wao wamepoteza matumaini .