Posts

Showing posts from March 27, 2017

AMKA NA KATUNI KUMI (10) ASUBUHI YA LEO YA TAREHE 28/3/2017

Image

JWTZ KUPUNGUZA DENI LA UMEME TANESCO .

Image
    Mkuu wa majeshi Tanzania Evans Mabeyo jana amekiri kuwa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) linadaiwa zaidi ya Bil.  3 na shirika la umeme Tanzania TANESCO . Mabeyo amesema kuwa watapunguza deni hilo leo juma tatu kwa kiwango cha Bil. 1 Mabeyo ameyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari kwenye ngome ya makao makuh ya jeshi hilo pia aliongeza kwa kusema kuwa deni hilo limeongezeka kutokana na shughuli za jeshi hilo kwenye ulinzi wa taifa na ufinyu wa badget . "Baada ya kupokea maelezo ya nmtanesco nakufuatia tamko la raisi ,  jeshi limetafakari na kuchhku jitihada za kupata fedha ili kupunguza deni hilo ,  tunadaiwa kiasi kinachozidi Bil.  3 kidogo ,  nimeagiza watendaji wetu watafute kiasi kinachofikia bil. 1 ili kesho(leo ) tupunguze deni ,. Mabeyo. Pia alisema taasisi zingine ziige mfano huo katika kuliendeleza shirika la umeme liendelee kutoa huduma .