Posts

Showing posts from December 22, 2017

ASFC : KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA GREEN wWARRIORS.

Image
      Mabingwa wa kombe la shirikisho Simba SC leo jioni saa 1:00 wanashuka dimbani kutetea ubingwa wao dhidi ya Green Warriors .   Kikosi cha leo cha Simba kimefanya mabadiliko kadhaa huku wachezaji wake wa akjba wakiwa wengi ni vijana wa U20.  1. Aishi Manula 2.  Ally Shomari 3.  Erasto Nyoni 4.  Yusuph Mlipili 5.  Juuko Mushi 6.  Jonas Mkude 7.  Shiza Kichuya 8.  Mzamiru Yasini 9.  Mo Ibrahim 10.  John Bocco 11.  Saidi  Ndemla  Wachezaji wa akiba : Emanuel Mseja, Paul Bukaba, Mohamed Hussein, Kelvin Faru, Rashid Juma , Mwinyi Kazimoto, Moses Kitandu.