Posts

Showing posts from November 18, 2017

MECHI ZA LIGI KUU VODACOM JUMAPILI YA LEO HIZI HAPA

Image
HABARI ZA MICHEZO Michezo itakayopigwa leo katika viwanja mbalimbali nikama ifuatavyo: 1. Njombe mji V/S  Azam FC             2. Mtibwa Sugar V/S Kagera Sugar 3. Yanga SC V/S Mbeya City.  Ligi kuu VPL Tanzania bara itaendelea leo Kwa michezo mbalimbali . Je, nani kuibuka mshindi leo tena? Endelea kufuatilia matokeo hapa hapa . Like & Share:                        Page fb: Misangletz                      Whatsap:0625954293              Email.....samwelim418@gmail.com

YANGA: KUELEKEA MCHEZO WA MBEYA CITY WANENA HAYA KUHUSU KAMSOKO,NGOMA NA TAMBWE.

Image
HABARI ZA MICHEZO:         Klabu ya Yanga kupitia msemaji Wa klabu hiyo Dismas Ten wamenena kuelekea mchezo wao dhidi ya Mbeya City leo tarehe 19/11/2017 katika uwanja wa Uhuru . Ten amesema kuwa timu yao iko vizuri na wamejiandaa vizuri kuelekea mchezo huo , Aisha Ten amezungumza kuhusu kuwepo Kwa Ngoma,Tambwe na Kamsoko katika mchezo huo .             " Tambwe na Kamsoko walikuwa      na majeraha wakiwa chini ya uangalizi wa Madaktari maalumu na taarifa yao ya mwisho ilidhibitisha kuwa wako fiti na wako tayari kuanza mazoezi na wameanza siku nne zilizopita na wako kwenye kikosi kucheza leo lakini huo in uamzi wa benchi LA ufundi kama wataamua kuwatumia sasa au katika mechi nyingine "     Msomaji wa misangletz.blogspot.com Kamsoko amekuwa nje Kwa mchezo kadhaa ya Yanga wakati Hamis Tambwe yeye hajacheza mchezo hata mmoja tangu kuanza Kwa ligi kuu ya VPL.    Ten amesema katika mchezo wa leo wanaiingia na kuhakikisha wanapata ushindi na kuondoka na point 3 muh

MSIMAMO WA VPL BAADA YA MECHI ZA LEO JUMAMOSI

Image
HABARI ZA MICHEZO:

MAHUSIANO: HIZI NDIZO TABIA ZA WACHEPUKAJI.

Image
            Katika uhusiano jambo la uaminifu ni lamsingi na muhimu sana na watu wengi wamekuwa wakilizwa / Julia sana katika MAHUSIANO kutokana na tabia za wenzi wao kutoeleweka.   Uaminifu imekuwa shida kiasi kwamba inapelekea watu kufikiria kufanya maamzi pengine ambayo hayapo sahihi kabisa.    Ukiona mpenzi wako anaonekana kuwa na ishara hizi , anza kufatilia Kwa undani. 1. Hakai mbali na simu hake . 2. In box na sent item hufutwa . 3. Ukimuomba simu yake ghafla,     atakuambia ngoja kidogo. 4. Kamwe haiiti Kwa sauti, siku zote     inawekwa mtikisiko(Vibration). 5. Kuna simu hapokei hata iweje,huchat     huchat Kwa SMS tu. 6. Mamba nyingi huwa haziseviwi. 7. Majina mengi kwenye simu yameseviwa     Kwa majina ya kufikirika tu . 8. Anapenda password na hubadili Mara     kwa Mara. 9. Muda mwingi huutumia kujihami. 10.Hawezi kukuweka kwenye profile       na akikuweka hukaii sana anakutoa. 11. Wakati anachat hukuangalia Mara Kwa       Mara usoni .          

OMOG TUTASHINDA BILA OKWI

Image
         Kocha mkuu wa Simba Joseph Omog amesema katika michezo wa leo wataibuka na ushindi hata bila ya kuwepo Kwa mshambjliaji wao Emanuel OKWI. Amesema kuwa kukosekana Kwa OKWI hakutaathiri timu take kwani timu take inawachezaji wengi na wazuri pia .

MAMA KANUMBA : NAWEZA KWENDA KUMUONA LULU GEREZANI

Image
       Mama wa aliyekuwa msanii wa bongo move STEVENE C KANUMBA amesema kuwa ataongea na Mungu ili kama ataweza kwenda msanii Elizabeth Michael "LULU" ambaye yuko gerezani Kwa sasa kufuatia hukumu ya kifungi cha miaka miwili aliyohukumiwa na mahakama kuu jijini Dar es Salaam baada ya kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia .  Mama KANUMBA aliyasema hayo alipokuwa kwenye uzinduzi wa filamu ya Zero Player aliyocheza mwanamitindo maarufu Hamissa Mobetto iliyozinduliwa Jana ijumaa katika ukumbi wa Suncrest Sunplex uliopo Quality Center jijini Dar es Salaam.

MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA LEO HIZI HAPA

Image
     Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL leo hii itaendelea Kwa michezo mbalimbali kama ifuatavyo hapa:

REKODI YA SIMBA KWA TANZANIA PRISON KATIKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA.

Image
   Nimekuletea hapa rekodi ya Tanzania Prison dhidi ya Simba .Michezo hii inahusu uwanja wa sokoine mjini Mbeya tu . Je, historia hii itaendelea tena leo au Simba watavunja rekodi hii ? Dk 90 ndizo zitaamua pale Sokoine Mbeya.

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA TANZANIA PRISON HIKI HAPA .

Image
               Klabu ya SIMBASIMBA leo itashuka uwanjani katika mwendelezo wa ligi kuu ya VPL dhidi ya Tanzania Prison . Kifuatacho ndicho kikosi cha SIMBA ambacho kinatakiwa kuhakikisha kuwa klabu hiyo inaondoka na point 3 katika michezo huo ambao watakuwa wageni vinara hao wa VPL. 1.      Aish Manila(28) 2.      Erasto Nyoni(18) 3.      Mohammed Hussein (15) 4.      James Kotei (3) 5.      Yusuph mlipili(5) 6.      Jonas Mkude (20) 7.      Shiza Kichuya (25) 8.      Mzamiru Yasini (19) 9.      John Bocco (22) 10.    Mwinyi Kazimoto(24) 11.    Haruna Niyonzima(8)        Wachezaji watakao tokea katika benchi ili kuongeza nguvu ni: 1.    Immanuel Msaja (30) 2.     Ally Shomary(21) 3.     Nicolas Gyan(29) 4.     Laudit Mavugo (11) 5.     Juma Luzio (10) 6.     Mohammed Ibrahim(4) 7.     Jamali Mnyate (14)

KUELEKEA MADRID DERBY:WANDA METROPOLITANO KUANDIKA HISTORIA LEO HII

Image
        Estadio Wanda Metropolitan ndiyo uwanja ambao Derby ya Madrid I itapigwa Leo hii na itakuwa uwanja Wa 16 kuwahi kutumika katika michezo ya aina hii ya mahasimu Wa jiji la Madrid.   Ni ukurasa Mpya Wa ukurasa uliodumu Kwa zaidi ya karne Kwa vilabu hivi vya mji Wa Hispania . Yangu vilabu hivi vilipoanzishwa ,mechi kubwa kati ya Athletics na Real Madrid zimechezwa katika maeneo yote yenye viwanja vikubwa jijini Madrid .                        Kipindi soka linaanza kutambulika jijini Madrid na Hispania ,viwanja vilikuwa ndani ya jiji la Madrid . Athletics Madrid I wakiwa wanategemea dimba la Athletic Club mnamo Mwaka 1905 walikutana katika uwanja Wa HIPODROMO uwanja ambao ndiyo Madrid walikuwa wakiutumia wakati huo.   Baada ya hapo wakaenda kucheza viwanja vya Fuente Del Berro na Campo Del Retiro uwanja Wa kwanza Wa nyumbani wa Rojblancos (Athletico).    Halafu uwanja Wa Estadio O'Dennel  ukawa unatumika Kwa mechi zote za nyumbani /ugenini Kwa timu zote kama a