Posts

Showing posts from February 5, 2018

11 YANGA KUKOSA MCHEZO WA LEO

Image
HABARI ZA MICHEZO. Klabu ya Yanga itawakosa wachezaji wake 11 ambao wanasumbuliwa na majeraha .  Wachezaji hao wwatakosekana katika mchezo wa eo dhidi ya Njombe mji mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo majira ya saa 10:00. Wafuatao ndyo watakao kosa mchezo huo wa leo . 1. youth Rostand 2. Juma Abdul 3. Haji Mwinyi 4. Shaibu Abdalah(Ninja) 5. Andrew Vicent 6. Pato Ngonyani 7. Thabani Kamsoko 8. Yohana Mkomola 9. Hamis Tambwe 10. Donald Ngoma 11. Ibrahim Ajibu.   Kwa maana hiyo tunaweza kusema kuwa kikosi cha yanga kina wachezji /kinakikosi kamili  kingine nje cha majerhuhi . 

MAGAZETI YA LEO JUMANNE , FEB, 2, 2018

Image
HABARI ZA MICHEZO