RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NA KUONGEZA WIZARA MBILI KUTOKA 9 HADI 12
Leo rais wa Tanzania John P Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri na kuongeza wizara kutoka 9 hadi 11 . Lakini pia Rais Magufuli amegusa ungeni katka uteuz wake ambapo katibu wa bunge amebadilishwa Dk. Kashilila atapangiwa kazi nyingine . Uteuzi huo umefanyika kama ilivyo hapa chini : 1. Utumishi - George Mkuchika. 2. Kilimo - Dk. Charles Tzeba na Naibu wake Seleman Jafo na naibu wake ni ni Dk. Mary Mwanjelwa. 3. Mifugo na uvuvi - Luhaga Mpina na naibu wazir- I wake Abdalah Luhenga 4. Mambo ya nje - Augustino Mahiga na naibu waziri wake ni Dk. Suzan Kolimba. 5. Ulinzi - Dk. Hussein Mwinyi. 6. Maji - Isack kamweli naibu ni Jumaa Aweso. 7. Viwanda na biashara - Charles Mwijage na naibu wake Mhandisi Stella Manyanya . 8. Elimu - Joyce Ndalichako na naibu ni Willium Olenasha. 9. Afya - Ummy Mwalimu na naibu wake ni Faustine Ndugulile . 10. Tamisemi - Sel