MSIMAMO WA VPL BAADA YA MECHI ZA LEO
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara leo umebadilishwa na matokeo yamichezo miwili iliyopigwa katika viwanja viwili. Michezo hiyo ni kati ya Simba vs Mwadui na mchezo mwingine ni kati ya Mbeya City vs Njombe Mji. Matokeo ya michezo hiyo nikama ifuatavyo: Simba vs Mwadui (3 - 0) Mbeya City vs Njombe mji (1-0). Na huu ndiyo msimamo wa ligi kuu ya VPL kwa sasa .