MASHAIRI YA WIMBO WA NAY WA MITEGO ULIOMPELEKA LUMANDE .
Kama ulikuwa hujawahi kusikiliza vizuri mashairi ya wimbo wa Nay wa mitego uliopelekea kukamatwa basi yasome hapa :👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Free nation, free nation .. Unachokipanda leo ndicho utakachokivuna kesho Imeandikwa mwanaume kula kwa jasho ,najiuliza hivi nani kaiona kesho chapa mwendo na ukilala hauna chako......... Hivi uhuru wa kongea kwenye nchi bado upo , Usije kuongea vitu kesho ukajikuta upo Central. Kunaviongozi wavuta bangi wapo Mana wanamaamzi ya Kise.. WAPO. Waliomumis Jakaya wapo.......!!!!! Na waliochoka kuisoma namba WAPO....!!!! Kunawasanii mateja WAPO..........!!!!. na Waliopoteza marinda WAPO........!!!!! Kuna redio na Tv naona vishapoteza CV, Hakuna uhuru wa habari wala taarifa ya habari Wanapindishapindisha kuiogopa serikali.. Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki .....!!!. Siasa inafunika mziki .... Viongozi wanashindana kwa kiki....... Wanagombea front page wauze kwenye magazeti... Nasikia kunaviongozi wamefoji vyeti WAPO.....!!!