Posts

Showing posts from November 19, 2017

MAGAZETI YOTE YA LEO TAREHE 20/11/2017

Image
HABARI ZA MICHEZO

MATOKEO YA VPL LEO NA MSIMAMO JINSI ULIVYO .

Image
HABARI ZA MICHEZO              Baada ya kukamilika Kwa mzunguko wa 10 Wa ligi kuu ya VPL matokeo yake katika michezo mitatu iliyopigwa leo nikama ifuatavyo: 1. Mbeya City  0 - 5 Yanga.        (Chirwa 3, E  Martine 2)                               2.   Njombe mji 0 - 1 Azam FC                  (Agrey Morris )  3.   Mtibwa Sugar 0 - 1 Kagera           (Edward Christopher) Baada ya michezo hiyo msimamo Wa ligi kuu ya VPL umebadilika kama unavyoonekana hapa chini.   

KIKOSI CHA MBEYA CITY DHIDI YA YANGA HIKI HAPA

Image
HABARI ZA MICHEZO            Kikosi cha Mbeya City kitakachoshuka dimbani kumenyana na Yanga in hiki hapa: 1.Fikiri 2.Rajab 3.Mwasapili 4.Rungenda 5.Sankhan 6.Babu 7.Ngassa 8.Samatta 9.Frank 10.Omary 11.Eliud       Wachezaji Wa akiba ni:    Msabila,Malina,Hamidu,Hangaya,IDD,Dan na Ndunguri.

KIKOSI CHA YANGA LEO HUKU KIKIWAKOSA TSHISHIMBI,KELVIN YONDANI,KAMSOKO,NGOMA NA TAMBWE.

Image
HABARI ZA MICHEZO          Yanga inashuka dimbani kukipiga Leo na mbeya City .Yanga imeweka kikosi ambacho kitashuka kutafuta point 3 muhimu katika mchezo Wa leo ili kujiwekea mazingira mazuri ya kuendelea kutetea kombe lao ambalo wamekuwa nalo Kwa misimu mitatu mfululizo mpaka sasa.        Kikosi kitakachoanza Leo dhidi ya mbeya City no hiki hapa : 1. Youth Roustand (GK) 2. Juma Abdul 3. Gadiel Michael 4. Vincent Andrew 5. Nadir Haroub (Kanavaro) 6. Pato Ngonyani 7. Pius Buswita 8. Raphael Louth 9. Obrey Chilwa 10. Ibrahim Ajib 11. Emanuel Martine   Wachezji Wa akiba ambao wataingia wakitokea nje ili kwenda kubadili mazingira ya mchezo ni:     Beno Kakolanya (GK)     Abdalaha Shaibu     Haji Mwinyi     Yusuph Mhilu     Makka Edward     Juma Mahadhi     Geofley Mwashuya Aidha Kocha mkuu Wa kikosi hiki George Lwandamina anawakosa wachezaji wake Kelvine Yondan,Papy Tshishimbi Kwa matatizo kidogo huku Tambwe ,Ngoma na Kamsoko wakiwa bado hawajarejea kikosin