DRAW YA ROBO FINALI YA UEFA IMETOKA TAYARI HII HAPA.
Wawakilishi peke wa uingereza katika michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya leicister city , watapambana na Athletico Madridi katika hatua ya robo fainal ya michuano hiyo . Lecister wamemfahamu mpinzani wao baada ya shirikisho la soka barani ulaya kufanya drwaw yake .
Comments