JWTZ KUPUNGUZA DENI LA UMEME TANESCO .

    Mkuu wa majeshi Tanzania Evans Mabeyo jana amekiri kuwa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) linadaiwa zaidi ya Bil.  3 na shirika la umeme Tanzania TANESCO . Mabeyo amesema kuwa watapunguza deni hilo leo juma tatu kwa kiwango cha Bil. 1 Mabeyo ameyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari kwenye ngome ya makao makuh ya jeshi hilo pia aliongeza kwa kusema kuwa deni hilo limeongezeka kutokana na shughuli za jeshi hilo kwenye ulinzi wa taifa na ufinyu wa badget .
"Baada ya kupokea maelezo ya nmtanesco nakufuatia tamko la raisi ,  jeshi limetafakari na kuchhku jitihada za kupata fedha ili kupunguza deni hilo ,  tunadaiwa kiasi kinachozidi Bil.  3 kidogo ,  nimeagiza watendaji wetu watafute kiasi kinachofikia bil. 1 ili kesho(leo
) tupunguze deni ,. Mabeyo.
Pia alisema taasisi zingine ziige mfano huo katika kuliendeleza shirika la umeme liendelee kutoa huduma .

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.