TENGENEZA PESA KWA GHALAMA NAFUU KABISA HAPA .
Zulia la sebleni au chumbani.
Katika dunia ya leo suala la kutegemea ajir za kuajiliwa limekuwa gumu sna , katika kuepuka swala la kutafuta ajira nimekuletea hata njia nzuri ya kupata pesa kwa urahisi zaidi .
Jiunge katika mafunzo ya kutenzeneza zulia za sebuleni , mikoba ya akina dada na mafunzo mbalimbali ya vitenge yatakayokuwezesha kujiajiri kwa njia rahisi kabisa .
Mafunzo yatakuwa rahisi sn wala hakuna ugumu wowote utakaojitokeza kikubwa ni kuwa makini na mafunzo .
Mikoba ya akina dada na akina mama
Ili kupata mafunzo hayo unachotakiwa nikuwasiliana nami kwa namba zifuatazo kwani malighafi nirahisi sn na zinazopatikana katika maeneo yako kwa urajisi hakuna malighafi ngumu hapo .
0625954293
0659116814
0764102390
Au
Samwelim418@gmail.com
Comments