MSIMAMO WA LIGI KUU TANANIA BARA (VPL)BAADA YA MCHEZO WA LEO MBAO FC & SIMBA SC

 

      Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara vpl  leo imeendelea kwa mchezo mmoja jijini mwanza kati ya wenyeji Mbao FC dhidi ya Simba SC , mchezo huo umemalizik kwa matokeo ya draw 2-2 na kuufanya msimamo wa ligi kuu kubadilika kama inavyoonekana ktika jedwali hapo chini . 


Ligi kuu vpl pia itaendlea siku ya jumamosi na jumapili kwa michezo mingi ikiwa ni katika mzunguko wa nne . 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.