RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NA KUONGEZA WIZARA MBILI KUTOKA 9 HADI 12
Leo rais wa Tanzania John P Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri na kuongeza wizara kutoka 9 hadi 11 .
Lakini pia Rais Magufuli amegusa ungeni katka uteuz wake ambapo katibu wa bunge amebadilishwa Dk. Kashilila atapangiwa kazi nyingine .
Uteuzi huo umefanyika kama ilivyo hapa chini :
1. Utumishi - George Mkuchika.
2. Kilimo - Dk. Charles Tzeba na Naibu
wake Seleman Jafo na naibu wake ni ni Dk. Mary Mwanjelwa.
3. Mifugo na uvuvi - Luhaga Mpina na naibu wazir-
I wake Abdalah Luhenga
4. Mambo ya nje - Augustino Mahiga na naibu waziri wake ni Dk. Suzan Kolimba.
5. Ulinzi - Dk. Hussein Mwinyi.
6. Maji - Isack kamweli naibu ni Jumaa Aweso.
7. Viwanda na biashara - Charles Mwijage na naibu wake Mhandisi Stella Manyanya .
8. Elimu - Joyce Ndalichako na naibu ni Willium Olenasha.
9. Afya - Ummy Mwalimu na naibu wake ni Faustine Ndugulile .
10. Tamisemi - Seleman Jafo na naibu wake ni Josephat Kandege na Joseph Kakunda.
11. Mazingira - January Makamba na naibu wake ni Kangi Lugola.
12. Vijana kazi sera na bunge - Jenista mhagama na naibu Anthony Mavunde .
Kwa upande wa katibu wa bunge amemteua Stephen Kagaigai.
Imeandaliwa na Misangle
Comments