TETESI ZA USAJILI VPL ASUBUHI YA LEO HIZI HAPA:

 

      Baada ya kufjnguliwa Kwa pazia la usajili Wa wachezaji Sikh chache zilizopita na kuibuka tetesi mbali mbali za usajili Wa wachezaji , nimekusogezea habari za usajili hapa chini ambazo nizakuaminika zaidi .

   Klabu ya Yanga imekanusha kufanya mazungumzo na mshambuliaji Wa zamamni Wa TP Mazembe ambaye ni mtanzania Thomas Ulimwengu hapo kulkkuwa na taarifa zikisambaa mtaani kuwa Yanga ipo katika mazungumzo na mchezaji huyo.
 
      Donald Ngoma natajwa kutimukia klabu ya Singida United japo uongozi Wa Yanga umesema hauna taarifa kama hizo na Ngoma bado ni Mchezaji wao halali.

      Azam inakaribia kjmalizana na washambuliaji wawili kutoka Zambia na Ghana katika dirisha hili Dogo la usajili ili kuziba nafasi ya mshambuliaji walieachana naye kutoka nchini Ghana Yahya.

   Simba imeambiwa kuwa haina haja ya kuongeza mshambuliaji yeyote katika usajili Wa awamu hii kwani kikosi chao bado kinaonekana kiko vizuri na kinaweza kufanya vizuri hata bila kuongeza nguvu .

    Pastory Atanus anatajwa kurejea Stand United .

   Shiza Kichuya anaweza kuachana na klabu ya Simba kutokana na kupata donge nono la Mil.177 nchini Misiri lililopelekea mchezaji huyo kukataa kuongeza mkataba mwingine kikosini hapo pindi atakapomaliza mkataba wake mwishoni Kwa msimu huu.

    Nyota Wa Mtibwa Sugar Mohammed Banks anatajwa kuwaniwa Kwa uvumba na mabingwa watetezi Wa klabu ya Yanga licha ya yeye kudai kuwa hafahamu chochote kuhusiana na taarifa hizo zinazosambaa Kwa kasi katika mitandao ya kijamii.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.