MATOKEO YA CECAFA KATI YA ETHIOPIA NA UGANDA NA MSKMAMO WA MAKUNDI YA CECAFA

   Mashindano ya CEAFA yameendelea leo kwa mchezo mmoja kati ya Ethiopia V/S Uganda ambao umemalizika kwa sare ya 1-1 huku Uganda wakisawazisha katika dk za mwisho kabisa .
 Katika mchezo huo macezaji wa Uganda Timothy Awany akipewa kadi nyekundu katika dk za mwisho kabisa za mchezo .

Kwa matokeo hayo Uganda imefuzu kuelekea katika hatua ya nusu Fainali ya michuano hiyo kutoka katika kundi B wakati huo Ethiopia ikiiombea Burundi ifungwe zaidi ya goli 4 hapo kesho na Sudani Kusini.

Huu ndiyo msimamo wa makundi ya CECAFA mpka sasa.


Comments

Popular posts from this blog

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA