ASFC : KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA GREEN wWARRIORS.



      Mabingwa wa kombe la shirikisho Simba SC leo jioni saa 1:00 wanashuka dimbani kutetea ubingwa wao dhidi ya Green Warriors .

  Kikosi cha leo cha Simba kimefanya mabadiliko kadhaa huku wachezaji wake wa akjba wakiwa wengi ni vijana wa U20.

 1. Aishi Manula
2.  Ally Shomari
3.  Erasto Nyoni
4.  Yusuph Mlipili
5.  Juuko Mushi
6.  Jonas Mkude
7.  Shiza Kichuya
8.  Mzamiru Yasini
9.  Mo Ibrahim
10.  John Bocco
11.  Saidi  Ndemla

 Wachezaji wa akiba :

Emanuel Mseja, Paul Bukaba, Mohamed Hussein, Kelvin Faru, Rashid Juma , Mwinyi Kazimoto, Moses Kitandu. 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NA MCHE YANARNDELEA .

BEBI MADAHA NA ISABELA WAHUSISHWA NA KUSAGANA

YANGA KUJA NA JEZI HIZI MSIMU 2017/2018.